Madelu juzi kati katuambia Rais Samia hajakopa sana, kwamba mikopo mingi ilikopwa na Hayati Magufuli. Leo Rais Samia anakiri amekopa sana, ila anajitetea ni kwa sababu kajenga sana kuliko awamu zote. Swali; View attachment 2453233View attachment 2453234
Unaogopa kupumzishwa 😀😀,kuna siku walitukamata sehemu traffic, kuna muhuni kwenye gari akasema ili watuachie wote tusiongee kiswahili kabisa.......dk 2 tukaruhusiwa.........