Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hawa Mungu atakuwa amewapa kazi maalum,ndio maana wapo huko deep sea,hebu wawaache wasije kuliamsha dude bure
Utakuta wana virusi au bakteria ambao dawa zetu hazifui dafu. Na Mchina hapo lazima aonje nyama yao tena ikiwa hata mbichi.

Akili nyingi mbele....

Japo pia unaweza kuta wana compound ambayo inaweza kutusaidia kutibu magonjwa ambayo tumeyashindwa au kuishi maisha marefu zaidi....
 
Kuna movie Fulani hivi ilitoka 2010 siikumbuki jina ila ilikuwa inaonyesha watu (vijana) walikwenda kula BATA baharini wakati wanakunywa bia moja ya chumba ambayo haijafunguliwa ilitumbukia kwenye bahari na Kwa bahati mbaya baada Tu ya kutumbukia ilipasuka hivyo kupelekea kupasuka kwa miamba chini ya bahari na matokeo yake kutoka aina moja wapo ya samaki wanao onekana hapo... Na walianza kuwashambulia na kuwala watu wote walio ndani ya maji

Ni nani ana hizi imagination za hawa viumbe wa ajabu ajabu, nikiangalia horror movie zinaelezea kuhusu zombies na madude ya ajabu ajabu...

Nahisi soon tunaweza kukumbana na haya makitu...

Dunia si salama


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…