Katika hali isiyo ya kawaida, Abdel Raphael (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja Mkoani Geita amekutwa amefariki kwa kile kinachodaiwa alifunga maombi ya sala kwa siku 30 katika chumba chake huku akiiaminisha Familia yake kuwa akifariki atafufuka baada ya siku nane.
View attachment 2448286