Ni Economics mkuu. Timu za Afrika haziwezi kushindana na timu za Ulaya kiuchumi. Ndiyo maana hata wachezaji wetu wazuri wakipata nafasi ya kwenda huko Ulaya baadhi yao wanaishia kuchukua na uraia wa huko kabisa.
Mchezaji mzuri wa kizungu achukue uraia wa nchi ya Kiafrika ili acheze ligi ipi? Hata kama amezaliwa Afrika akienda kuutandika Ulaya ndo harudi tena na anachukua uraia wa ancestral land ya wazazi wake.
Ni sababu zile zile zinazofanya Waafrika waende Ulaya kusaka ajira (and not vice versa). Uchumi!