Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mahakama ya Tanzania imetangaza kumuondoa aliyekuwa mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) Prof Mussa Assad na Magufuli kama KINYUME CHA KATIBA

*Lakini mahakama inakataa kutangaza uteuzi wa CAG Charles Kichere kama kinyume cha katiba

* Mahakama pia inakataa kumrejesha Assad kama CAG mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…