Sawa,Nikiwa wegero musoma mara naupenda sana huu uzi.
Bora umarudi na bodaboda,kuliko moyo ungeamua kusimama[emoji1787]
Ndiyo,wabongo hatushindwi
Halafu kweli nimesheki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sharia nzuri hii,iletwe na TzIndonesia kumekucha! [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2435739
Nimeamini,walevi