Habari wakuu, Hapa nilipo nimejaa kitete siyo poa. Yaani hata sielewi, ingawa maamuzi niliyoyachukua nilishauriana na moyo wangu nikaridhika, lakini still nafsi inanisuta. Nimeuza kiwanja changu cha urithi nilichopewa kwenye mgao wa familia, tena kiwanja kilicho barabarani kabisa. Nilitakiwa...