"Nilikuwa naamini kabisa kwamba, Said Mbelwa nitampiga kwa mambo matatu cha kwanza mgonjwa, cha pili ni mzee na cha tatu ni mlevi"
"Na ndicho kimechotokea, amekutana na ‘NDOIGE' nimepiga tu chali na hiyo ndio maana ya ngumi yangu pia Bondia yoyote atakaye yakanyaga atakutana na NDOIGE kutoka kwangu"