Kumbe hao wala tango wamekukwaza. Pole sana mkuu!
Ubaya ni kwamba tunatofautiana. Mimi naona hicho ni kituko tu hakina ishu ila nitajaribu kufuata matakwa yako mkuu na nikihisi pengine picha itakukwaza nitakuwa nakuuliza kwanza ili utoe rukhsa tusivuke mipaka ya uzi