Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapo inategemea mkono upi ndio unatumia mara kwa mara na una control nao nzuri


Japo nilimsikia katibu anasema by default ni mkono wa kulia, huo mkono wa kushoto ni endapo unaamua kuswitch kwenda sim2
Ndiyo ile kwamba kama unatumia mkono wa kushoto kupigia nieto siku ukitumia wa kulia unajiona kama umechepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…