Vituko mitandaoni. Tupia chako

Soma Tena comment yangu kama Kuna neno mlemavu. Nimesema wewe ni mdada mweupe na unaombaomba sana pesa Kwa wanaume ndiyo maana umekasirika kwenye hicho kituko.
Rejea post ya kwanza tulipoanzia, uliwananga walemavu kuwa wanaomba omba! Ndio nikakujibu hivyo usitoke kwenye mada, uungwana waombe radhi walemavu unatumia ulemavu wao kudhalilishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…