Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Ligamba (45), mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Kata ya Butuguri wilayani Butiama mkoani Mara anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 19 ambaye ni mlemavu aliyepooza mwili mzima tangu kuzaliwa kwake.

#EastAfricaRadio
 
Dooh🙄
Jamaa kapatikana!
 

Utoto raha..!​

Leo mama mmoja kapulizia Air Freshner yenye Harufu ya PiLAU nyumbani kwake sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwake ndio wanacheza hapo.​

Kila akitoka wanamsalimia, akirudi wanamsalimia..​

Baba yao ndio kammaliza kabisaaa, amemwambia:​

“Kumbe wewe ni Mpishi mzuri sanaaa, Hongera”​

Imebidi leo asirudi nyumbani maana wale watoto wanaweza kuingia ndani kabisa na pilau HAKUNA🙄​

 

Ndege..​

Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari..
Kabla ndege haijaanza kuondoka, lilipita tangazo kama ifuatavyo:

Ndugu abiria, ndege yetu hii unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kibongo..

Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chake

Walipomuuliza ni kwanini hakuondoka akajibu kwa haraka tu kuwa:-

"....kama ndege hii imetengenezwa na Wabongo, nina hakika hata kuwaka tu haitowaka!"
 

Kijijini​

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..

Unaenda kuoga bafuni, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..
Unaamua kufuata mengine kisimani, unarudi unakuta mbuzi ndo anamalizia kumeza sabuni, na ng'ombe mwingine ashameza robo tatu ya taulo..

Unasema wacha uingie ndani ule chakula ulichofunika mezani, unakuta kuku washamwaga chini wanaendelea Kula🙄
 
His wife simply said to him, "Honey don't stress yourself with the journey. I am Rhoda"

Guys, the man has been confused, since morning he is still holding his traveling bag. What should he do?
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…