😁 we Acha tu hapa mtaani kuna mtu na mkewe wanashangaza,mwanaume anatembea na kibinti kimoja jirani halafu kakake na huyo binti anatembea na mke wa huyo jamaa.
we Acha tu hapa mtaani kuna mtu na mkewe wanashangaza,mwanaume anatembea na kibinti kimoja jirani halafu kakake na huyo binti anatembea na mke wa huyo jamaa.