Vituko mitandaoni. Tupia chako

🤣🤣🤣
Hakuna maelezo ya kutosheleza hapo..
Hapo ndo utajua kwa nini machinga husema "...chamaki nchanga ni tamu kuliko dagaa!"
Omba Mungu huyo Cathy asiumizwe ikaibuka kesi ingine
 

Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi..​

1). Kopa mkopo mkubwa benki.. muda wa marejesho ukiwadia kitambi kwisha..
2). Nunua gari bovu la biashara
3). Oa mke mwenye kelele au malaya..

Ikipita miezi mitatu bado kitambi kipo basi ujue siyo kitambi, Ila umevimba BANDAMA 🙄
 

Mama mkwe​

Mama mkwe alimuuliza mkwewe “binti” samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?

Binti akajibu, “bila samahani mama, huku chini nina njia ya uzazi siyo mashine ya photocopy”
Mama mkwe hoii!! Chezea Wakwe Wa Bongo !!!
 

Neno kwa wanaume..​

Demu wako anakuja kwako kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia, we unakalia kusema tuu:
waooo, waoooo kama king’ora cha ambulance.

Shauri yako we endelea kusema waoooo waooo...
na atakuwa wao kweli 🙄
 

House girl na bosi wake mzungu..​

House girl mmoja alipewa kazi na mzungu, mara akavunja sahani...

Mzungu aliporejea kazini akamuuliza
‘...What happened to my plate?'

House girl akajbu: ‘The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjeee……the pasuka paaaaaaaa...

Mpaka muda huu mzungu bado anabukua kamusi maana haelewi kinachojiri..
 

Mapenzi sometimes ni noma..​

Kuna dogo alipata stress kali kutokana na mapenzi hadi mama'ake akagundua kuna kitu hakipo sawa..
Mama: Mwanangu, what's wrong, mbona tangu juzi sikuelewi, au unaumwa?!!!
Dogo: Mama, ebu tulia hukoooo.. We bado mdogo, kuna mambo mengine huwezi kuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…