Ninachokisema ni kweli kabisa, nina uhakika nimesoma hii habari ilikuwa kwenye mfumo wa shairi, kitabu cha darasa la nne kilikuwa na cover la bluu.
Nipende uzee wa nini aisee hapa nikikumbuka umri wangu kama nilikuwa nacheka najikuta kicheko kimekatika ghafla