Hivi ni mimi tu sijaelewa au vipi... kwamba dhahabu kilo moja kasoro thamani yake iwe milioni 93 tu!!?Hela zako zina kuuaView attachment 2321548
[emoji81][emoji81][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
@Shimba ya Buyenze angekuwepo angeshakusaidia jina la hii movie
Ivi alienda wap uyu mwamba🤔@Shimba ya Buyenze angekuwepo angeshakusaidia jina la hii movie