antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,107
- 133,455
Siamini mtu aliyemaliza form four awe na akili hizoVisa vya Madenge
Baada ya kumaliza form four babaake akamwambia achague zawadi yoyote aipendayo
MADENGE: naomba pesa nikamuoe bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake.
BABA: Shenzi kabisa wewe. Yule ni mama yangu mzazi huwezi kumuoa.
MADENGE: Mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi sijasema kitu? Lazima nilipize kisasi ikikuuma muache mama yangu ili kila mtu akae na mamayake[emoji41]
Kumbe kitu natural kabisa hadi nzi nao wanapenda
[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mweeh bora kama hukumkula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]View attachment 2315279