Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke..
Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room kwao, nimemwambia aje adekie humu humu room kwangu…