Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sasa hapo unakuwa unamkomoa nani? Na unaweza kumfanyia hivyo mtu ambaye kweli ulikuwa unadai kufa na kupona kuwa unampenda? Atakuwa amekutendea kosa gani kubwa mpaka ufikie hatua hii mbali na cheating labda [emoji16][emoji16]
View attachment 2298016
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana nimesema ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kutafuta suluhisho ikashindikana. Hata watu wanaopendana sana leo kesho wanaweza kuachana si ndio?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana nimesema ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kutafuta suluhisho ikashindikana. Hata watu wanaopendana sana leo kesho wanaweza kuachana si ndio?
Najua bana...

Cha muhimu tu waachane kwa amani bila kuumizana na kuwekeana visasi. Hayanaga mwongozo hayo makitu yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…