Huyu Wajackoyah haya anasema kweli au wameanza kumlisha maneno kama Hashim Rungwe?I will ensure all schools have bars inside so that teachers can refresh themselves after lessons ~ WajackoyahView attachment 2291075
Zinatoa huduma. Zinajenga majengo. Zinalipa mishahara na chakula cha wachungaji pamoja na magari yao. Zinalipia bili za umeme, maji n.k. Zinatumika kusaidia masikini wenye uhitaji...na zingine zinaliwa na kutapanywa hovyo na wachungaji.Hivi sadaka zinaenda mbinguni, au zinaliwa hapa hapa duniani na wanaume
Zinatumika kwenye kazi ya bwana.Hivi sadaka zinaenda mbinguni, au zinaliwa hapa hapa duniani na wanaume
Jamaa haamini. Angeomba mechi si ajabu angepewa. Sema mdada naye kawa milionea. She is now worth $3 millions+What the heck am I seeing [emoji16][emoji16]View attachment 2290982
Kila mtu yuko sahihi kwa kipindi fulani kwa watu fulani...[emoji16][emoji16][emoji16]Yuko sahihi
[emoji16][emoji16]kazi yake imemlipaJamaa haamini. Angeomba mechi si ajabu angepewa. Sema mdada naye kawa milionea. She is now worth $3 millions+