hii imenikumbusha kipindi fulani kuna madogo wa chuo walipanga nyumba ya jirani. Hawa madogo walikuwa na kile kiredio cha Bluetooth yani wakishinda geto kitapiga mziki siku nzima mpaka kero! Yani nilikuwa nikisikia "ze blutus divais iz rede tupel" nagadhibika najua wajuba washarudi huko ni mapiano na wasouth mpaka usiku mnene yani utulivu wote unapotea, nilijikuta nawachukia hawa madogo aiseee sio poa
thank God kodi iliwashinda wakahama maana mpaka nilikuwa nimepanga kodi ikiisha nihame mimi