Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kunajamaa alimuibia polisi bunduki wakaanza kukimbizana mpaka makaburini. Polisi walikua nyuma mwizi alikua kawaacha kwa mbio. Mwizi akafika akaficha bunduki kwenye majani marefu halafu akajilaza kwenye kaburi moja hivi. Polisi walivyo fika wakadhani mtu kajipumzisha kumbe ni yule mwizi aliye iba bunduki. Wakamuuliza, vipi umemuona mwizi kakimbilia huku? Akawajibu:
..aaah wapi, mimi mgeni nimezikwa leo tu labda niwaitie Sofia awaambie...

Weweee.. mwizi aliona vumbi tu, polisi haooo mbio kinomaa!

Halafu akashuka akachukua bunduki akaendelea na safari……
 
Kwa sababu ya ukosefu wa utashi wa kibinadamu, kuna methali inayoitwa "Snake Tunxiang." Nyoka wanaweza kumeza wanyama wakubwa zaidi kuliko wao wenyewe katika ulimwengu halisi Su-57, mwanamtandao, alituma mtandaoni picha isiyo ya kawaida kwenye tovuti ya mtandao wa kijamii tarehe 23 Juni 2020

. Nyoka mkubwa mweusi alimeza kitu cha kustaajabisha kwenye picha hii. alimeza Silaha ya A.K-47 ....! Su-57 aliziongezea maandishi ya dhihaka, akisema: "Niko Nchini Urusi, nyoka hajapigwa risasi, lakini nyoka kameza bunduki."
 
Njaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…