Vituko mitandaoni. Tupia chako

SUMU​

Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake.
Ajabu ni kuwa aliporudi kutoka kazini alikuta house boy amekufa..
Alipoulizwa akang'aka:
Msiniulize amekufaje. Mie mambo ya umbea sipendi, niliondoka zangu mapemaaa kwenda kazini!!😅😅😅😅
 
Alikufa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…