Wasia wa wosia.
gazeti
Mdogo wangu Hujambo..!?
Nimesikia leo umeamka Vema kabisa Mdogo wangu..!
KUNA SAFARI NA GAZETI..! Leo wacha nikuambie Kuhusu GAZETI najua unajua kwamba Bibi zetu kule wanaita GARAZETI lakini yoote maana yake moja tu isikuchanganye
Kuna kijana anaitwa joseph kayombo]] alinigusia Ununuzi wa MAGAZETI kwa siri sana Mdogo wangu KONDEBOY] nakusema kwamba niliwai kutamka kwenye Waraka wa NABIIMSWAHILI ibara ya 10 Kwamba
" UKIOA MWANAMKE ALIEKUZIDI UMRI NI SAWA SAWA NA KUNUNUA GAZETI JIONI"
sasa zipo Waraka nyingi za @nabiimswahili zinaweza kunukuliwa tofauti
Mimi nikutie nguvu na moyo
katika safari yako ya mapenzi na umedhihirisha kwenye Umma kwamba upo na huyo nikwambie hapa kuwa nae tu huyo ndio umemchagua ni wako Kula unachopenda usile UNACHOKUTA
Kila la Kheri mdogo wangu achana na hao watani wetu joseph kayombo]]
...!
KONDEBOY] joseph kayombo]] @nabiimswahili
View attachment 2274417