Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii picha umeielewa sana babu,kuna uzi niliona umeitupia[emoji23]
Mbona hii pisi haikufikii hata robo. Huoni yule mharibifu Fox alivyokuganda?

Yu a gojazi mjukuu wangu....

Na endelea kujitunza hivyo hivyo kwa heshima yako na sisi wazazi wako. Akina Mzab na Fox pamoja na genge lao waendelee kuisoma namba!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] wapambane na hali zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…