Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuwa singo maza kazi eeeeh!
View attachment 2267221
🤣🤣🤣🤣 Hapa kinachouma ni kwamba inabidi atumie hela zake kwenye kila kitu. Hawa wanawake wakibongo ni tegemezi tuu hawana usuper woman wala nini.

Ila hawa single maza wanakuwaga watamu kweli...nani mwenye connection ya huyu mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…