Vituko mitandaoni. Tupia chako

#HABARI Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanaume mmoja Ndirangu Wahome katika kaunti ya Nyandarua kwa tuhuma za kuwauzia watu sambusa za nyama ya mbwa bila wao kujua
Wananchi wa eneo hilo wanasema kwa muda mrefu wamekuwa wakila vitafunwa hivyo wanavyodai vilikuwa vitamu na ladha tofauti bila kujua kuwa ndani yake sio nyama ya kawaida inayotumika
 
Kama hawajaumwa shida iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…