Vituko mitandaoni. Tupia chako

Imekaa vibaya..MAKUZI ni kichocheo cha mazuri na mabayaView attachment 2224945
Wamekaba kila kona. Kuanzia kwenye katuni za watoto, movies na kila show mpaka hapa JF mnawaweka. Hakuna pa kukimbilia...

Na hakuna cha makuzi wala nini. Sasa hivi imegeuka na kuwa fasheni kwa sababu ndiyo mtindo wa maisha wa macelebrity na matajiri. Ni ajenda ya dunia kuiangamiza familia as we know it...na bila familia imara hakuna kitu...na wameshinda.

Imagine mtu anaona fahari kwa vile anafira/anafirwa. Let that sink in...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…