Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sasa sii tutaishia kuongeana mileage tuu mpendwa.....dnt lose hope bwana utapata ambaye mapenzi hayataisha yaani mtazidi kupendana tuu
Sasa ndio mpaka umpate vinginevyo haiwezekan kukaa mahala na penzi limeisha. Yaan unaambiwa kabisa sikuhitaji tena utaendelea kulazimisha? Unakubali tu matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikikumbuka nafsi inauma halafu nacheka mwenyewe


Ahsanteni saana watu wa singida.

Nyinyi ni wakuniuzia mimi kuku mgonjwa, nikijua mzima(kwa uchangamfu wake) kumbe mmempaka pilipili kwenye kinyeo chake, kweli


Roho inaniuma thaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…