Vituko mitandaoni. Tupia chako

Lengo lao kufilisi nchi
Hii nchi ngumu sana, watu wapo serikali miaka na miaka tena wameshika nyadhifa kubwa kubwa, wame accumulate wealth vya kutosha, families zao zimepewa vipaumbele kibao lakini still wanaomba walipwe tena na tena,hivi hawaoni hata aibu

Sidhani kama hata wanafikiriaga maisha ya mtanzania mmoja mmoja wale chini kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…