Jamani Jumatatu ya Pasaka nimeandaa hafla fupi nyumbani kwangu kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa mambo kadhaa aliyonitendea.
Kutakuwa na vinywaji vya aina mbalimbali na kuna mbuzi atachomwa na mtaalamu wa kuchoma nyama atakuja na jiko lake palepale.
NB: Nawaomba wote jamani mjitahidi kufuata mfano wa huyo jamaa aliyenifowadia hiyo sms, na nyie muandae hafla ya kumshukuru Mungu majumbani kwenu kwa mambo mbalimbali aliyowatendea. Mi nikiwa na hela ntaandaa pia.