[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Makonda baada ya kusikia Kuna makundi yanamtafutaView attachment 2184297
Huwa sibakishagi kitu.....Sema sikupiga after...
Fuata nyuki...Wahenga bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi simhurumii. Acha kila mtu avune alichopanda !!!
Halafu mnashangaa kwa nini nchi haiendelei. Imagine huyu naye ni mtunga sheria na tunamtegemea atutungie sheria zenye tija kuendana na dunia hii inayokwenda kasi kisayansi na kiteknolojia [emoji16][emoji16][emoji16]
Kila mmoja wapo alikuwa vizuri katika kutetea maslah ya Afrika nzima kwa ujumla na kila mmoja ana heshima yake ila kwa upande wangu naona aliyefanikiwa ku'deliver kwa Raia wake nchini kwake ni Gaddafi...
Sio kupenda kwetu. Ni wahengaView attachment 2184534
Wale wanangu wa 'kinyonga akitaka kujifungua anajitupa chini ana kufa ila mtoto wake anabaki hai' nawaona mnavoupiga mwingi mwingi
Ni wewe[emoji41]Kazi ni kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2184291