MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,133
- 151,913
Hicho kijamaa huwa kinaudhi. Sijui kwa nini kinatuonea sana sisi last borns [emoji51][emoji51][emoji51]
Kama umeelewa kinachozungumziwa hapo basi mbinguni utafika umechoka sana mai furendi [emoji16][emoji16][emoji16]Koh Koh!!!!!