Vituko mitandaoni. Tupia chako

Zamani kipindi tupo kwenye Sunday School na Shirika la mtoto Yesu kuna mama mwalimu wetu nilikua najua ni Albino maana alikua amebabuka karibu mwili wote. Baadae ndio nikaja kugundua sio albino bali Vitiligo. Ila alikua anajikubali hadi leo hii

Ndio maana nimesema maiko alishindwa kuvuka Denial state kwenda Acceptance ndio maana akafanya alichofanya.
Kitu cha kwanza unachofundishwa kwenye Recovery pindi unapopatwa na matatizo ya kudumu Wanasaikolojia hushauri mtu Kwamba "Define yourself for what you have and lack, Value the Difference" Sijui kama bongo mambo haya yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…