Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kizazi cha Messi hamuijui hii,
Mwaka 1974 Zaire ambayo ni congo ya sasa wakati huo ikiongozwa na raisi dikiteta Mobeto seseko kuku ilipeleka wachawi 40 kwenye michuano ya kombe la gunia huko ujeruman magharibi ili iweze kutwaa kombe hilo lakin badala yake mechi ya ufunguz dhid ya ujeruman ilipigwa 9-0 mechi ya pili dhid ya brazil ikapigwa 13-0 na mechi ya mwisho ikapigwa 12-1 na ubeligiji.
 
Story ni kwamba wachezaji walikasirishwa na kitendo cha kuwathamini waganga kuliko wao wachezaji
 
Mobutu atakuwa aliwapa adhabu gani?! Maana naamini hakuwaacha hivihivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…