Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Mambo haya ya ajabu ajabu hata kwetu sasa yapo. Watu wanauana na kuchinjana kiboya tu.Duh aisee imebidi niende niitafute hii habari, watu wanyama sana atakuwa amesukumwa na madawa huyu. Jamaa yake alikuwa anamshutumu kwa uzinzi.
Huyo binti ameolewa akiwa na miaka 12, na mpaka anafanyiwa huo unyama tayari alikuwa na mtoto wa miaka 3[emoji22]View attachment 2118088
Yaani unategemea jamii nzima wasiwe watamu? Wao watakuwa wamemkosea nini Muumba wao?Hivi hii jamii ni watamu kweli....wenye uzoefu watuambie
Aisee inabidi uwe na roho ngumu sana!Mambo haya ya ajabu ajabu hata kwetu sasa yapo. Watu wanauana na kuchinjana kiboya tu.
RIP Mona [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]Kiswaswadu cha baharia [emoji16] [emoji16]
View attachment 2118166