Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ati; huyu binti kajiua (suicide) au kauwawa (homicide)? Kwa nini? Swali hili lilikuwa kwenye interview ya watu waliokuwa wakiomba kuwa maajenti wa FBI.....
View attachment 2105961
Kwa mtazamo wangu Hajajiua kauwawa
Nimeangalia vigezo vifuatavyo:
1. Karatasi na peni mezani
2. Sigara mkononi
3. Stuli
4. Damu ukutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…