Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kenya ile ya magwiji wa kusakata soka.
Yaani magharibi wanakopatikana wajaluo na Waluhya.
Makabila mawili yanayoin'arisha Kenya kwenye mchezo wa Soka.
Tuambie Onyango ni baba, babu au mvulana

Na kwa taarifa yako, mademu huwapenda sana hao wenye sura ngumu wa kutokea hiyo mikoa, dada zetu wengi wameolewa huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…