Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bilioni 240 zinajenga kilometa 300 za barabara za lami AMBAZO ZINAHITAJIKA SANA MIKOANI KUNAKOZALISHWA MALI, lakini hapo zimejenga kilometer 1,3 pekee ZA WALA BATA TU yaani one point three KM Only
Poor allocation of the SCARCE RESOURCES
 
Lakini c analipwa 80%wa mshahara wa spika?
Ana pewa V8?
Na dereva juu na posho kibao?

Mimi nahisi serikali inqtakiwa itenge watu maalumu kwa ajili shughulikia unadhifu na mwonekano ya viongozi waliostaafu ambao wameshika nafasi kubwa katika mihimili ya nchi.. ili siku wanapoenda kwenye sherehe za kitaifa au public asiumbuke.

Maana are hapo wanajidhalilisha aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…