Mmiliki wa mpira akiitwa na mamake ndani, basi mechi imeisha, hicho ndio kipyenga cha mwisho, au akijeruhiwa, au akichukia tu ndo basi.
Kingine ilikua kama mmiliki amepewa majukumu na mamake, ilikua inabidi tumsaidie sote kuyamaliza mapema ili aruhusu mpira,