Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wenzio walijengewa mapiramidi kabisa wakaondoka na kilo maelfu za dhahabu pamoja na wanyama na watumishi wao wa kwenda kuwahangaikia huko walikoenda. Yote ni kujilisha upepo tu ndugu Chameleon. Tengeneza akhera yako sasa ukiwa hai. Mshike sana Mungu. Ipokee rehema yake. Tenda mema kwa binadamu wenzako bila kujali hali zao na saidia wenye shida kwa kadri ya uwezo wako...hata mwili wako ukitupwa porini huko uliwe na wanyama, utakuwa na heri ya milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…