Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nunda waliopita barani Afrika
Jonas Savimbi
Angola
View attachment 2097830
Boya. Alipewa mpaka umakamu wa rais akakubali baadaye akagoma akidai anautaka urais. Akina Mandela wakahangaika kusuluhisha weee wapi huyo akakimbilia msituni tena kumbe ikawa poor timing. Akawa hana faida tena kwa mabeberu na kama kawaida yao wakamtupa na kumwacha peke yake...matokeo yake yakawa kuzikwa mwituni katika kaburi lisilo na jina japo baadaye, ili kuonyesha mshikamano na roho ya kusamehe, mabaki yake yalizikwa kijijini kwao...
 
Jonas Savimbi mwisho wake wa enzi ni pale Mobutu Seseseko alipopinduliwa.
Alikuwa anajificha misitu ya Zaire kwenda kuiba Almasi, ananunua silaha, anaua wazee, wanawake na watoto.
Shenzi sana.
Akatupwe kwenye tanuri la moto Jehanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…