Vituko mitandaoni. Tupia chako

Pole sana mkuu, unakuta na mfukoni hukuwa na bajeti ya kfc kabisa
Niliambiwa na mtu tukutane eneo fulani muda fulani. Muda ulipofika nikaenda kabl yeye hajfkka, si nikaamua nipumzike kwenye eneo bar jirani.

Ile kufik akaniita stend akaniuliza "kwani nilikwambia unisubiri bar?" Nikamjibu tu, nimeingia kw pesa yangu na kikao kikaishia hapo. Niliona amenidharau sana tena mbele za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…