Watu WATATU wamenyoosha MIKONO yao juu.
WANAUME wawili wamenyanyua MIKONO juu huku kila mmoja akiwa ameshika MJANI (Mmoja kwa MKONO wake wa kulia, na Mwingine kwa MKONO wake wa kushoto) na kati Mwanamke amenyanyua MIKONO yake yote miwili juu bila kushika chochote