Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mimi ni mbishi kutumia net..unajua wale wabishi? Ila safari hii nimenawa mikono nimeenda kutafuta net nikiwa na akili zangu timamu bila hata kushawishiwa na mtu. Sio kwa mbu hawa aisee

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Ulikuwa mbishi maana ulikuwa haujakamatika. Mi mwenyewe neti sipendi ila mbu sijui wana mpango gani na damu yangu, wanaipenda mnooo. Hivyo sina namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…