Vituko mitandaoni. Tupia chako

Askofu Gwajima akitaka kufanya Press, afanye nyumbani, hawatamsumbua! Mimi niliponusa dalili za mizengwe, 17 Februari 2021 nilifanyia Press katika Makazi ya Askofu! Defenda na siafu nyomi, lakini waliishia kuzunguka mtaani! Hawakuzuia Press yangu. Walichofanikiwa ni kuzuia baadhi ya vyombo kutoa taarifa. Kati ya Vyombo vya Habari 30, hakuweza kuzuia vyote!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…