Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Jamani Mama Mchungaji; mbona hivyo? Niko tayari kulipa milioni moja keshi ili kuona picha yako full mtumishi. Deal?
PM iko open Mtumishi. Njoo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Niko siriazi. Njoo PM Mtumishi. Umelala kwani?Hadi usingizi umenikata; unasema kweli msukuma?
Mi sijaiona na nimekataa makusudi. Mwaka 2022 here I come!
looh!Kupiga hatua
Niko siriazi. Njoo PM Mtumishi. Umelala kwani?
Nakusubiri Mtumishi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nilikuwa nasinzia, ila usingizi umekata. Nakuja sasa hivi
Muone huyu Manka.aki mods wananitafutia ubaya na wananch wenzangu [emoji17], wanabadli like kuwa dslike [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
sasa hiv nitaanza kuweka [emoji1787] au [emoji7], pole mwananchi mwenzangu hata me nmeshtushwa
Nakusubiri Mtumishi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mtumishi, pulizi njoo!Nimeshatuma kitambo Mtumishi
Daah Mtumishi, mbona nishafika kitambo na picha nishatuma jamaniMtumishi, pulizi njoo!