Vituko mitandaoni. Tupia chako

Viongozi wote wa Kitaifa hasa Rais hawafati sheria japo wanatuaminisha shaeria zipo na tuzifate
Magufuli alikuwa anatvunja sheria na akiona sheria hiyo inakuwa ngumu zaidi kuvunja anatunga sheria mpya au kubadilisha sheria hiyo ili iwe rahisi kuvuruga haki za Watanzania
 
Hawa walipoteza nafasi ya kuwa mashujaa wa kweli kwa uoga na matumbo yao tu. Walikuwa wapi kuyasema haya wakati Jiwe mwenyewe yupo? Sasa kila mtu anataka kuonekana shujaa lengo nadhani ni kuwa relevant kisiasa na hata kukumbukwa na mama. Mashujaa wa kweli ni akina Tundu Lissu, Bagonza, Shangazi, Lema...na wengineo ambao hawakunyamaza...na wengine iliwagharimu kweli kweli. To hell with these political opportunists!
 
" Kutokana na mazoea ya Wagogo kudharaulika ndio kinachosababisha Mimi kushambuliwa mitandaoni. Kuna baadhi wananiandika vibaya kila kukicha , sio kwa sababu Nina pungufu lolote Ila kwa sababu Mimi ni mgogo." JOB NDUGAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…