Darubini ya kisasa ilitumwa anga za mbali, kwa jina James Webb!
Vile sifa zake zilivyo kama ikifika salama eneo husika na kuanza kufanya kazi kwa ukamilifu, naamini kabisa watu wa dini watarekebisha baadhi ya vifungu kwenye maandiko jinsi ulimwengu ulivyotokea, James Webb anaenda kuwa acha uchi.