Vituko mitandaoni. Tupia chako

Watoto mara nyingi huwa wanatumika kuunganisha familia. Unakuta mtu mmeshindana na anaamua kusepa kwao.
Wiki tu unakuta anakuja anajifanya amekuja kusalimia mtoto wakati kila siku wanaonana akitoka shule.
Au labda mmeshindana akaenda kwao, yale maswali ya mtoto yanakufanya mmalize ugomvi. Hoo, mama yuko wapi! Anarudi lini? Kwani alifanyaje? Mbona ulisema anarudi leo!
 
Hahahaa ndio maana bibie kamtumia mtoto kama chambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…